Proverbs 26:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ajiingizaye katika ugomvi usiomhusu, ni kama mtu amshikaye masikio mbwa anayepita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu apitaye na kujisumbua kwa ugomvi usio wake; Ni kama mtu ashikaye mbwa kwa masikio yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ajiingizaye katika ugomvi usiomhusu, ni kama mtu amshikaye masikio mbwa anayepita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama yeye amkamataye mbwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama yeye amkamataye mbwa kwa masikio, ndivyo alivyo mtu apitaye njiani na kujiingiza kwenye ugomvi usiomhusu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu apitaye na kujisumbua kwa ugomvi usio wake; Ni kama mtu ashikaye mbwa kwa masikio yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ajiingizaye katika ugomvi usiomhusu, ni kama mtu amshikaye masikio mbwa anayepita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akamataye masikio ya mbwa apitaye ni mtu ajitiaye katika magomvi yasiyo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu apitaye na kujisumbua kwa ugomvi usio wake; Ni kama mtu ashikaye mbwa kwa masikio yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayejiingiza katika ugomvi usiomwelekea, ni kama mutu anayeshika masikio ya imbwa anayepita.