Proverbs 26:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama shomoro apigapigavyo mbawa zake au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama shomoro apigapigavyo mabawa yake au mbayuwayu katika kuruka kwake kasi, ndivyo ilivyo laana isiyo na sababu haimpati mtu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama shomoro katika kutangatanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpati mtu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama shomoro au mbayuwayu wasiotua, kadhalika laana asiyostahili mtu haimtui.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama ndege anavyojiendea tu, kama kinega anavyoruka, ndivyo, kiapizo cha bure kilivyo, hakimfikii aapizwaye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile ndege anavyorukaruka, vilevile laana isiyokuwa na sababu haimupati mutu.