Proverbs 26:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama vile makaa au kuni huchochea moto, ndivyo mgomvi achocheavyo ugomvi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, Na kama kuni juu ya moto; Ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama vile makaa au kuni huchochea moto, ndivyo mgomvi achocheavyo ugomvi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, na kama kuni kwenye moto, ndivyo alivyo mtu mgomvi kwa kuchochea ugomvi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, Na kama kuni juu ya moto; Ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama vile makaa au kuni huchochea moto, ndivyo mgomvi achocheavyo ugomvi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makaa hufaa juu ya makaa yawakayo, nazo kuni hufaa motoni; ndivyo, mtu mgomvi anavyofaa kuchochea magomvi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama makaa juu ya makaa yanayowaka, Na kama kuni juu ya moto; Ndivyo mtu mgomvi achocheavyo uadui.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile makaa au kuni vinachochea moto, ndivyo mugomvi anachochea ugomvi.