Proverbs 26:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama rangi angavu iliyopakwa kigae, ndivyo yalivyo maneno matamu yenye nia mbaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama rangi ing’aayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Midomo ijipendekezayo pamoja na moyo mbaya Ni kama kigae kilichofunikizwa taka za fedha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama rangi angavu iliyopakwa kigae, ndivyo yalivyo maneno matamu yenye nia mbaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama rangi ing'aayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama rangi ing’aayo iliyopakwa kwenye vyombo vya udongo ndivyo ilivyo midomo laini pamoja na moyo mbaya.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Midomo ijipendekezayo pamoja na moyo mbaya Ni kama kigae kilichofunikizwa taka za fedha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama rangi angavu iliyopakwa kigae, ndivyo yalivyo maneno matamu yenye nia mbaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama fedha zenye mitapo zilizobandikwa juu ya kigae ni midomo isemayo maneno yapendezayo sana, moyo ukiwa mbaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Midomo ijipendekezayo pamoja na moyo mbaya Ni kama kigae kilichofunikizwa taka za fedha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama vile rangi yenye kungaa iliyopakwa juu ya chungu cha udongo, ndivyo maneno matamu yenye nia mbaya yanavyokuwa.