Proverbs 26:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenye chuki huficha chuki yake kwa maneno mazuri, lakini huwa ana hila moyoni mwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, lakini moyoni mwake huficha udanganyifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Achukiaye huficha chuki kwa midomo yake; Naye huweka akiba ya hila moyoni mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenye chuki huficha chuki yake kwa maneno mazuri, lakini huwa ana hila moyoni mwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, lakini moyoni mwake huficha udanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwenye nia ya kudhuru wengine hujificha kwa maneno ya midomo yake, lakini moyoni mwake huficha udanganyifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Achukiaye huficha chuki kwa midomo yake; Naye huweka akiba ya hila moyoni mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenye chuki huficha chuki yake kwa maneno mazuri, lakini huwa ana hila moyoni mwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa maneno ya modomo yake mchukivu hujificha, namo moyoni mwake umo udanganyifu, alioutia humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Achukiaye huficha chuki kwa midomo yake; Naye huweka akiba ya hila moyoni mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwenye chuki anaficha chuki yake kwa maneno mazuri, lakini uovu unajaa ndani ya moyo wake.