Proverbs 26:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Akiongea vizuri usimwamini, moyoni mwake mna chuki chungu nzima.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini, kwa maana machukizo saba hujaza moyo wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Anenapo maneno mazuri usimsadiki; Kwa maana ana machukizo saba moyoni mwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Akiongea vizuri usimwamini, moyoni mwake mna chuki chungu nzima.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini, kwa maana machukizo saba hujaza moyo wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa maneno yake huvutia, usimwamini, kwa maana machukizo saba hujaza moyo wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Anenapo maneno mazuri usimsadiki; Kwa maana ana machukizo saba moyoni mwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Akiongea vizuri usimwamini, moyoni mwake mna chuki chungu nzima.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Akisema maneno mazuri mno, usimtegemee! Kwani moyoni mwake yamo matapisho saba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Anenapo maneno mazuri usimsadiki; Kwa maana ana machukizo saba moyoni mwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Akisema maneno mazuri usimwaminie. Ndani ya moyo wake kuna machukizo mengi.