Proverbs 26:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ulimi wa uongo huwachukia wale unaowaumiza, nacho kinywa cha kujipendekeza husababisha uharibifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza, nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ulimi wa uongo, huwachukia wale unaowaumiza, nacho kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asemaye uongo huwachukia hao anaowaumiza, naye abembelezaye huleta maangamizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulimi wenye uwongo huwachukia, uliowaumiza, nacho kinywa kisemacho mororo huangamiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulimi unenao uongo huwachukia wale uliowajeruhi; Na kinywa cha kujipendekeza hutenda uharibifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayesema uongo anachukia wale anaowaumiza, naye anayebembeleza analeta maangamizi.