Proverbs 26:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa sumu, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama vile ilivyo kujikata miguu au kujitafutia shida, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara, ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumtuma mpumbavu ujumbe, ni kama kujikata miguu au kujitafutia shida.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye kujikata miguu au mwenye kujinywesha makorofi ni mtu apelekaye habari kwa kutuma mpumbavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Apelekaye ujumbe kwa mkono wa mpumbavu Hujikata miguu, na kunywa hasara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kutuma ujumbe kwa mukono wa mupumbafu ni kama kujikata miguu au kujitafutia mateso.