Proverbs 26:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama miguu ya kiwete inavyoning’inia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoning'inia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama miguu ya kiwete inavyoning'inia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama miguu ya kiwete inavyoning’inia ndivyo ilivyo mithali katika kinywa cha mpumbavu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Methali mdomoni mwa mpumbavu, ni kama miguu ya kiwete inayoninginia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama miguu ya kiwete isivyotumika, ndivyo, fumbo lilivyo kinywani mwa wapumbavu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miguu yake achechemeaye huwa dhaifu; Kadhalika mithali katika kinywa cha mpumbavu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mezali katika midomo ya mupumbafu ni kama miguu ya kiwete inayoninginia.