Proverbs 27:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amwamkiaye jirani kwa kelele alfajiri, itaeleweka kwamba amemtakia laana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu asubuhi na mapema, itahesabiwa kuwa ni laana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtu ambarikiye mwenzake kwa sauti kuu asubuhi na mapema; Itahesabiwa kuwa ni laana kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amwamkiaye jirani kwa kelele alfajiri, itaeleweka kwamba amemtakia laana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu asubuhi na mapema, itahesabiwa kama ni laana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama mtu akimbariki jirani yake kwa sauti kuu asubuhi na mapema, itahesabiwa kama ni laana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtu ambarikiye mwenzake kwa sauti kuu asubuhi na mapema; Itahesabiwa kuwa ni laana kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amwamkiaye jirani kwa kelele alfajiri, itaeleweka kwamba amemtakia laana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu akimbariki mwenziwe kwa sauti kuu asubuhi na mapema huwaziwa, ya kuwa amemwapiza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtu ambarikiye mwenzake kwa sauti kuu asubuhi na mapema; Itahesabiwa kuwa ni laana kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemusalimia jirani yake kwa kelele asubui mapema, itahesabiwa kwamba amemutakia laana.