Proverbs 27:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mke mgomvi daima, ni sawa na tonatona ya maji siku ya mvua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mke mgomvi ni kama matone yasiyokoma siku ya mvua.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kutona-tona daima siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mke mgomvi daima, ni sawa na tonatona ya maji siku ya mvua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mke mgomvi ni kama matone yasiyokoma ya siku ya mvua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mke mgomvi ni kama matone yasiyokoma ya siku ya mvua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matone daima kudondoka siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mke mgomvi daima, ni sawa na tonatona ya maji siku ya mvua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maji yasiyokoma kuchuruzika toka mchirizini siku ya mvua nyingi na mwanamke mgomvi ni sawasawa;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kutona-tona daima siku ya mvua nyingi, Na mwanamke mgomvi ni sawasawa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muke mugomvi ni kama matone ya mvua yasiyoisha siku ya mvua.