Proverbs 27:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kumzuia ni sawa na kuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa mkono.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumzuia ni kama kuuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa kiganja cha mkono.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atakaye kumzuia huyo huuzuia upepo; Na mkono wake wa kuume hukuta mafuta.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kumzuia ni sawa na kuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa mkono.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumzuia yeye ni kama kuuzuia upepo au kukamata mafuta kwa kiganja cha mkono.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumzuia yeye ni kama kuuzuia upepo au kukamata mafuta kwa kiganja cha mkono.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atakaye kumzuia huyo huuzuia upepo; Na mkono wake wa kulia hukuta mafuta.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kumzuia ni sawa na kuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa mkono.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
awezaye kumzuia aweza kuuzuia nao upepo, mkono wake wa kuume huweza kushika nayo mafuta yauingiayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atakaye kumzuia huyo huuzuia upepo; Na mkono wake wa kuume hukuta mafuta.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kumuzuia ni sawa na kuzuia upepo, au kukamata mafuta kwa mukono.