Proverbs 27:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayeutunza mtini hula tini, anayemhudumia bwana wake ataheshimiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; Naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayeutunza mtini hula tini, anayemhudumia bwana wake ataheshimiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye atunzaye mtini atakula tunda lake, naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; Naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayeutunza mtini hula tini, anayemhudumia bwana wake ataheshimiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alindaye mkuyu hula kuyu zake, naye awaangaliaye mabwana zake hupata macheo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yeye autunzaye mtini atakula matunda yake; Naye amhudumiaye bwana wake ataheshimiwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayetunza muti wa tini atakula matunda yake. Anayetumikia bwana wake ataheshimiwa.