Proverbs 27:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuzimu na Uharibifu kamwe havishibi, kadhalika na macho ya watu hayashibi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuzimu na Uharibifu havishibi, wala macho ya mwanadamu hayashibi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuzimu na Uharibifu havishibi; Wala macho ya wanadamu hayashibi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuzimu na Uharibifu kamwe havishibi, kadhalika na macho ya watu hayashibi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuzimu na uharibifu havishibi kadhalika macho ya mwanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuzimu na Uharibifu havishibi kadhalika macho ya mwanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuzimu na Uharibifu havishibi; Wala macho ya wanadamu hayashibi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuzimu na Uharibifu kamwe havishibi, kadhalika na macho ya watu hayashibi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuzimu nako, watu wanakopotelea, hakushibi, vivyo hivyo nayo macho ya watu hayashibi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuzimu na Uharibifu havishibi; Wala macho ya wanadamu hayashibi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuzimu na shimo la kuangamia havishibi hata kidogo, vilevile macho ya watu hayashibi.