Proverbs 27:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kalibu husafisha fedha na tanuru husafisha dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa anazopewa na watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kalibu ni kwa fedha, na tanuru kwa dhahabu; Na mtu hujaribiwa kwa sifa zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru kwa ajili ya dhahabu, bali mtu hupimwa kwa sifa azipokeazo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kalibu ni kwa fedha, na tanuri kwa dhahabu; Na mtu hujaribiwa kwa sifa zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ubora wa fedha au dhahabu hupimwa kwa moto, na mtu hupimwa kutokana na sifa zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Chungu cha kuyeyushia hujaribu fedha, nayo tanuru hujaribu dhahabu, lakini mtu hujaribiwa nayo, vinywa vya watu vinayomsifia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kalibu ni kwa fedha, na tanuru kwa dhahabu; Na mtu hujaribiwa kwa sifa zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Zahabu na feza vinapimwa kwa moto, na mutu anapimwa kutokana na sifa zake.