Proverbs 27:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Angalia vizuri hali ya mifugo yako; tunza vizuri wanyama wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako ya kondoo na mbuzi; angalia ng’ombe wako kwa makini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Fanya bidii kuijua hali ya makundi yako; Na kuwaangalia sana ng'ombe zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Angalia vizuri hali ya mifugo yako; tunza vizuri wanyama wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako ya kondoo na mbuzi, angalia kwa bidii ng'ombe zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hakikisha kuwa unajua hali ya makundi yako ya kondoo na mbuzi, angalia kwa bidii ng’ombe zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Fanya bidii kuijua hali ya makundi yako; Na kuwaangalia sana ng'ombe wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Angalia vizuri hali ya mifugo yako; tunza vizuri wanyama wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti ujue vema, jinsi makundi yako yalivyo, kauelekeze moyo wako kuwaangalia nao ng'ombe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Fanya bidii kuijua hali ya makundi yako; Na kuwaangalia sana ng’ombe zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Angalia vizuri hali ya makundi yako ya nyama; tunza vizuri nyama wako.