Proverbs 27:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana utajiri haudumu milele, wala taji haidumu vizazi vyote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa utajiri haudumu milele, nalo taji halidumu vizazi vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mali haziwi za milele; Na taji je! Yadumu tangu kizazi hata kizazi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana utajiri haudumu milele, wala taji haidumu vizazi vyote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa utajiri haudumu milele, nayo taji haidumu vizazi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa utajiri haudumu milele, nayo taji haidumu vizazi vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mali haziwi za milele; Na taji je! Ladumu tangu kizazi hata kizazi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana utajiri haudumu milele, wala taji haidumu vizazi vyote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kilimbiko hicho nacho sicho cha kale na kale, au kiko kilemba cha kifalme kikaliachao vizazi na vizazi?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mali haziwi za milele; Na taji je! Yadumu tangu kizazi hata kizazi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana utajiri haudumu milele, wala taji haidumu kwa vizazi vyote.