Proverbs 27:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Baada ya kukata nyasi na kuzihifadhi, kata majani toka milimani, huku nyasi zinachipua upya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati majani makavu yameondolewa na mapya yamechipua, nayo majani toka milimani yamekusanywa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Manyasi huchukuliwa, na majani mabichi huonekana, Na maboga ya milimani hukusanyika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Baada ya kukata nyasi na kuzihifadhi, kata majani toka milimani, huku nyasi zinachipua upya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati majani makavu yameondolewa na mapya yamechipua, nayo majani toka milimani yamekusanywa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati majani makavu yameondolewa na mapya yamechipua, nayo majani toka milimani yamekusanywa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Manyasi hukatwa, na majani mabichi huchipua, Na mboga ya mlimani hukusanywa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Baada ya kukata nyasi na kuzihifadhi, kata majani toka milimani, huku nyasi zinachipua upya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Majani makavu yakiisha kuondolewa, hutokea mabichi, nako milimani hukusanywa majani mazuri ya kula.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Manyasi huchukuliwa, na majani mabichi huonekana, Na maboga ya milimani hukusanyika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nyuma ya kukata majani, wakati nyasi zinachipuka upya, kusanya majani toka kwenye milima.