Proverbs 27:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kondoo watakupatia sufu kwa mavazi, mbuzi nao utauza na kujinunulia mashamba;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
wana-kondoo watakupatia mavazi na mbuzi thamani ya shamba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana-kondoo hufaa kwa mavazi yako; Na mbuzi ni thamani ya shamba
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kondoo watakupatia sufu kwa mavazi, mbuzi nao utauza na kujinunulia mashamba;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wana-kondoo watakupatia mavazi na mbuzi thamani ya shamba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wana-kondoo watakupatia mavazi na mbuzi thamani ya shamba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana-kondoo hufaa kwa mavazi yako; Na mbuzi ni thamani ya shamba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kondoo watakupatia sufu kwa mavazi, mbuzi nao utauza na kujinunulia mashamba;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana kondoo hukupatia mavazi yako, nayo madume ni malipo ya kununua shamba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana-kondoo hufaa kwa mavazi yako; Na mbuzi ni thamani ya shamba
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kondoo watakupatia sufu kwa ajili ya nguo zako, mbuzi nao utawauzisha na kujinunulia mashamba;