Proverbs 27:27 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watakupa maziwa ya kukutosha wewe na jamaa yako, na kwa ajili ya watumishi wako wa kike.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi kukulisha wewe na jamaa yako, na kuwalisha wajakazi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Tena yatakuwapo maziwa ya mbuzi, Ya kukutosha kwa chakula chako, Na chakula cha watu wa nyumbani mwako, Na posho la vijakazi vyako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watakupa maziwa ya kukutosha wewe na jamaa yako, na kwa ajili ya watumishi wako wa kike.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi kukulisha wewe na jamaa yako, na kuwalisha watumishi wako wa kike.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utakuwa na maziwa mengi ya mbuzi kukulisha wewe na jamaa yako, na kuwalisha watumishi wako wa kike.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Tena yatakuwapo maziwa ya mbuzi, Ya kukutosha kwa chakula chako, Na chakula cha watu wa nyumbani mwako, Na posho la vijakazi vyako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watakupa maziwa ya kukutosha wewe na jamaa yako, na kwa ajili ya watumishi wako wa kike.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena yako maziwa ya mbuzi yatoshayo kukulisha wewe na kuwalisha nao waliomo nyumbani mwako, hata kuwa posho ya watumishi wako wa kike.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Tena yatakuwapo maziwa ya mbuzi, Ya kukutosha kwa chakula chako, Na chakula cha watu wa nyumbani mwako, Na posho la vijakazi vyako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watakupa maziwa ya kukutoshelea na jamaa yako, na kwa ajili ya wajakazi wako.