Proverbs 27:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jiwe ni zito na mchanga kadhalika, lakini usumbufu wa mpumbavu ni mzito zaidi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jiwe ni zito, na mchanga hulemea; Lakini ghadhabu ya mpumbavu ni nzito kuliko hivi vyote viwili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jiwe ni zito na mchanga kadhalika, lakini usumbufu wa mpumbavu ni mzito zaidi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito zaidi kuliko hivyo vyote viwili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jiwe ni zito na mchanga ni mzigo, lakini kukasirishwa na mpumbavu ni kuzito kuliko vyote viwili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jiwe ni zito, na mchanga hulemea; Lakini ghadhabu ya mpumbavu ni nzito kuliko hivi vyote viwili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jiwe ni zito na mchanga kadhalika, lakini usumbufu wa mpumbavu ni mzito zaidi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jiwe ni zito, nao mchanga ni mzigo, lakini masikitiko ya mpumbavu ni mazito kuliko yote mawili.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jiwe ni zito, na mchanga hulemea; Lakini ghadhabu ya mpumbavu ni nzito kuliko hivi vyote viwili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jiwe ni zito na muchanga vilevile, lakini uchokozi wa mupumbafu ni muzito zaidi.