Proverbs 27:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Makaripio ya rafiki yaonesha uaminifu, lakini busu la adui ni udanganyifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Majeraha kutoka kwa rafiki yaonesha uaminifu, lakini adui huzidisha busu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jeraha utiwazo na rafiki ni amini; Bali kubusu kwa adui ni kwingi sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Makaripio ya rafiki yaonesha uaminifu, lakini busu la adui ni udanganyifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, bali busu la adui ni udanganyifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Majeraha kutoka kwa rafiki yaonyesha uaminifu, bali kubusu kwa adui ni kwingi sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jeraha utiwazo na rafiki ni amani; Bali busu la adui ni udanganyifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Makaripio ya rafiki yaonesha uaminifu, lakini busu la adui ni udanganyifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vidonda, anavyokutia mpenzi wako, vina maana ya kweli, lakini asiyekoma kukunonea ni mchukivu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jeraha utiwazo na rafiki ni amini; Bali kubusu kwa adui ni kwingi sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Makaripio ya rafiki yanaonyesha uaminifu, lakini busu la adui ni udanganyifu.