Proverbs 27:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye aliyeshiba huchukia kabisa asali, bali kwa mwenye njaa hata kile kilicho kichungu kwake ni kitamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Aliyeshiba hata asali huikataa, lakini kwa mwenye njaa kila kichungu ni kitamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Roho ya mtu ashibaye hubeza hata asali iliyo safi, lakini roho ya mtu aliye na njaa huona nayo machungu kuwa matamu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Aliyeshiba anakataa hata asali, lakini kwa mwenye njaa kila chakula kichungu ni kitamu.