Proverbs 27:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafuta na manukato huufurahisha moyo, lakini taabu hurarua roho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Manukato na uvumba huleta furaha moyoni, nao uzuri wa rafiki huchipuka katika ushauri wake wa uaminifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Marhamu na manukato huufurahisha moyo; Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafuta na manukato huufurahisha moyo, lakini taabu hurarua roho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Manukato na uvumba huleta furaha moyoni, nao uzuri wa rafiki huchipuka kutoka kwenye ushauri wake wa uaminifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Manukato na uvumba huleta furaha moyoni, nao uzuri wa rafiki huchipuka kutoka kwenye ushauri wake wa uaminifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Marhamu na manukato huufurahisha moyo; Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafuta na manukato huufurahisha moyo, lakini taabu hurarua roho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mafuta na uvumba hufurahisha moyo, nao utamu wa mpenda mwenziwe, huu ndio unaotoka katika mashauri mema ya roho.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Marhamu na manukato huufurahisha moyo; Kadhalika utamu wa rafiki ya mtu utokao katika kusudi la moyo wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mafuta na marasi vinafurahisha moyo, vilevile utamu wa urafiki kuliko kujitoshelea mwenyewe.