Proverbs 28:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu hukimbia japo hawafukuzwi na mtu, lakini waadilifu ni hodari kama simba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza, bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu hukimbia japo hawafukuzwi na mtu, lakini waadilifu ni hodari kama simba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna ye yote anayemfukuza, bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwovu hukimbia ingawa hakuna yeyote anayemfukuza, bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu hukimbia japo hawafukuzwi na mtu, lakini waadilifu ni hodari kama simba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiomcha Mungu hukimbia pasipo kufukuzwa, lakini waongofu hutulia pasipo kustushwa kama mwana wa simba.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wanakimbia ijapokuwa hawafukuzwi na mutu, lakini wenye haki ni hodari kama simba.