Proverbs 28:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wema wakipata madaraka maisha hufana, lakini waovu wakitawala watu hujificha.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenye haki ashindapo, kuna furaha kubwa, bali waovu watawalapo, watu hujificha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wenye haki washindapo, uko utukufu mwingi; Bali waovu waondokapo, watu hujificha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wema wakipata madaraka maisha hufana, lakini waovu wakitawala watu hujificha.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwenye haki ashindapo, kuna furaha kubwa, bali mwovu atawalapo, watu hujificha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenye haki ashindapo, kuna furaha kubwa, bali waovu watawalapo, watu hujificha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wenye haki washindapo, uko utukufu mwingi; Bali waovu waondokapo, watu hujificha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wema wakipata madaraka maisha hufana, lakini waovu wakitawala watu hujificha.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waongofu wakishangilia, uko utukufu mwingi, lakini wasiomcha Mungu wakipata ukuu, watu hujificha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wenye haki washindapo, uko utukufu mwingi; Bali waovu waondokapo, watu hujificha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa haki wakipata madaraka, kuna utukufu mukubwa. Lakini waovu wakitawala, watu wanajificha.