Proverbs 28:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Afichaye makosa yake hatafanikiwa; lakini anayeungama na kuyaacha atapata rehema.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, bali yeyote aziungamaye na kuziacha hupata rehema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Afichaye makosa yake hatafanikiwa; lakini anayeungama na kuyaacha atapata rehema.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, bali ye yote aziungamaye na kuziacha hupata rehema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye afichaye dhambi zake hatafanikiwa, bali yeyote aziungamaye na kuziacha hupata rehema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Afichaye makosa yake hatafanikiwa; lakini anayeungama na kuyaacha atapata rehema.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ayafichaye mpotovu yake hatafanikiwa, ayaungamaye na kuyaacha atahurumiwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayeficha makosa yake hatafanikiwa, lakini anayeungama na kuyaacha atahurumiwa.