Proverbs 28:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Heri mtu amchaye Mwenyezi-Mungu daima; lakini mkaidi wa moyo ataangukia maafa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amebarikiwa mtu ambaye siku zote humcha Mwenyezi Mungu, bali yeye afanyaye moyo wake kuwa mgumu huanguka kwenye taabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanadamu mwenye kicho yu heri sikuzote; Bali mshupavu wa moyo ataangukia madhara.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Heri mtu amchaye Mwenyezi-Mungu daima; lakini mkaidi wa moyo ataangukia maafa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amebarikiwa mtu ambaye siku zote humcha BWANA, bali yeye afanyaye moyo wake kuwa mgumu huangukia kwenye taabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amebarikiwa mtu ambaye siku zote humcha bwana, bali yeye afanyaye moyo wake kuwa mgumu huangukia kwenye taabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanadamu mwenye kicho yu heri siku zote; Bali mshupavu wa moyo ataangukia madhara.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Heri mtu amchaye Mwenyezi-Mungu daima; lakini mkaidi wa moyo ataangukia maafa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwenye shangwe ni mtu ajiangaliaye pasipo kukoma, lakini aushupazaye moyo wake huangushwa na mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanadamu mwenye kicho yu heri sikuzote; Bali mshupavu wa moyo ataangukia madhara.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Heri mutu anayemwogopa Yawe siku zote, lakini mwenye moyo mugumu atapata hasara.