Proverbs 28:15 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtawala mwovu anayewatawala maskini, ni kama simba angurumaye au dubu anayeshambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama simba angurumaye au dubu ashambuliaye, ndivyo alivyo mtu mwovu anayetawala wanyonge.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama simba angurumaye, na dubu mwenye njaa; Ndivyo alivyo mtu mbaya awatawalaye maskini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtawala mwovu anayewatawala maskini, ni kama simba angurumaye au dubu anayeshambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama simba angurumaye au dubu ashambuliaye, divyo alivyo mtu mwovu atawalaye wanyonge.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama simba angurumaye au dubu ashambuliaye, ndivyo alivyo mtu mwovu atawalaye wanyonge.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama simba angurumaye, na dubu mwenye njaa; Ndivyo alivyo mtu mbaya awatawalaye maskini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtawala mwovu anayewatawala maskini, ni kama simba angurumaye au dubu anayeshambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Simba angurumaye na chui atamaniye kula ni mtu asiyemcha Mungu akitawala watu wanyonge.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama simba angurumaye, na dubu mwenye njaa; Ndivyo alivyo mtu mbaya awatawalaye maskini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutawala mwovu anayetawala wamasikini ni kama simba anayenguruma au dubu anayeshambulia.