Proverbs 28:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayelima shamba lake atapata chakula kingi, bali anayefuata yasiyofaa atapata umaskini tele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yule afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi atapata umaskini wa kumtosha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayelima shamba lake atapata chakula kingi, bali anayefuata yasiyofaa atapata umaskini tele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yule afuataye mambo ya upuzi atakuwa na umaskini wa kumtosha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi atapata umaskini wa kumtosha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayelima shamba lake atapata chakula kingi, bali anayefuata yasiyofaa atapata umaskini tele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alilimiaye shamba lake hushiba chakula, lakini akimbiliaye mambo ya bure hushiba ukosefu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele; Bali afuataye mambo ya upuzi atapata umaskini wa kumtosha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayelima shamba lake atapata chakula kingi, lakini anayefuata mambo yasiyofaa atapata umasikini tele.