Proverbs 28:23 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amwonyaye mwenzake hatimaye hupata mema zaidi, kuliko yule anayembembeleza kwa maneno matamu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amkemeaye mwenzake hatimaye atapata kibali; Zaidi ya mtu ajipendekezaye kwa ulimi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amwonyaye mwenzake hatimaye hupata mema zaidi, kuliko yule anayembembeleza kwa maneno matamu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye amkemeaye mtu mwishoni hupata kibali zaidi, kuliko mwenye maneno ya kusifu isivyostahili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amkemeaye mwenzake hatimaye atapata kibali; Zaidi ya mtu ajipendekezaye kwa ulimi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amwonyaye mwenzake hatimaye hupata mema zaidi, kuliko yule anayembembeleza kwa maneno matamu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amwonyaye mtu mwisho atashukuriwa kuliko asemaye mororo kwa ulimi wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amkemeaye mwenzake hatimaye atapata kibali; Zaidi ya mtu ajipendekezaye kwa ulimi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayemwonya mwenzake kwa mwisho atasifiwa naye, kuliko yule anayemubembeleza kwa maneno matamu.