Proverbs 28:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anayeiba mali ya baba yake au mama yake, akasema si kosa, hana tofauti yoyote na wezi wengine.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye amwibiaye babaye au mamaye na kusema, “Si kosa,” yeye ni mwenzi wa yule aharibuye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Aibaye mali ya babaye au mamaye, na kusema, Si kosa; Mwana huyo ni rafiki wa mtu mharibifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anayeiba mali ya baba yake au mama yake, akasema si kosa, hana tofauti yoyote na wezi wengine.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye amwibiaye babaye au mamaye na kusema, “Si kosa,” yeye ni mwenzi wa yule aharibuye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye amwibiaye babaye au mamaye na kusema, “Si kosa,” yeye ni mwenzi wa yule aharibuye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Aibaye mali ya babaye au mamaye, na kusema, Si kosa; Mwana huyo ni rafiki wa mtu mharibifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anayeiba mali ya baba yake au mama yake, akasema si kosa, hana tofauti yoyote na wezi wengine.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Apokonyaye mali za baba na za mama na kusema: Huku siko kukosa, yeye ni sawa na mtu aangamizaye vibaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Aibaye mali ya babaye au mamaye, na kusema, Si kosa; Mwana huyo ni rafiki wa mtu mharibifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Anayeiba mali ya baba yake au ya mama yake na kusema si kosa, anatumika pamoja na yule anayeangamia.