Proverbs 28:25 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchoyo huchochea ugomvi, lakini anayemtegemea Mwenyezi-Mungu atafanikiwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye Mwenyezi Mungu atafanikiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye nafsi ya kutamani huchochea fitina; Bali amtumainiye Bwana atawandishwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchoyo huchochea ugomvi, lakini anayemtegemea Mwenyezi-Mungu atafanikiwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye BWANA atafanikiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu mwenye tamaa huchochea fitina, bali yule amtegemeaye bwana atafanikiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye nafsi ya kutamani huchochea fitina; Bali amtumainiye BWANA ataneemeshwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchoyo huchochea ugomvi, lakini anayemtegemea Mwenyezi-Mungu atafanikiwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Aliye na roho yenye tamaa nyingi huzusha magomvi, lakini amwegemeaye Bwana hushibishwa sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye nafsi ya kutamani huchochea fitina; Bali amtumainiye BWANA atawandishwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchoyo anachochea magomvi, lakini anayetegemea Yawe atafanikiwa.