Proverbs 28:28 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu wakitawala watu hujificha, lakini wakiangamia, waadilifu huongezeka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati waovu wanatawala, watu huenda mafichoni, bali waovu wanapoangamia, wenye haki hufanikiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasio haki wainukapo, wanadamu hujificha; Bali waangamiapo, wenye haki huongezeka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu wakitawala watu hujificha, lakini wakiangamia, waadilifu huongezeka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati mwovu atawalapo, watu huenda mafichoni, bali mwovu anapoangamia, wenye haki hufanikiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati waovu watawalapo, watu huenda mafichoni, bali waovu wanapoangamia, wenye haki hufanikiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wasio haki wainukapo, wanadamu hujificha; Bali waangamiapo, wenye haki huongezeka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu wakitawala watu hujificha, lakini wakiangamia, waadilifu huongezeka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiomcha Mungu wakipata ukuu, watu hujificha, lakini wakiangamia, waongofu huongezeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasio haki wainukapo, wanadamu hujificha; Bali waangamiapo, wenye haki huongezeka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wakitawala, watu wanajificha. Lakini wakiangamia, wenye haki wanaongezeka.