Proverbs 28:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wanaovunja sheria huwasifu waovu, lakini wanaoishika sheria hupingana nao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale wanaoacha sheria huwasifu waovu, bali wale wanaotii sheria huwapinga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wao waiachao sheria huwasifu waovu; Bali wao waishikao hushindana nao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wanaovunja sheria huwasifu waovu, lakini wanaoishika sheria hupingana nao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale waiachao sheria huwasifu waovu, bali wale waishikao sheria huwapinga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale waiachao sheria huwasifu waovu, bali wale waishikao sheria huwapinga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wao waiachao sheria huwasifu waovu; Bali wao waishikao hushindana nao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wanaovunja sheria huwasifu waovu, lakini wanaoishika sheria hupingana nao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wayaachao Maonyo huwasifu wasiomcha Mungu, lakini wayaangaliao Maonyo huwakasirisha sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wao waiachao sheria huwasifu waovu; Bali wao waishikao hushindana nao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wanaovunja sheria wanasifu waovu, lakini wanaoshika sheria wanapingana nao.