Proverbs 28:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu hawajui maana ya haki, lakini wamchao Mwenyezi-Mungu wanaielewa kabisa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wapotovu hawaelewi haki, bali wale wanaomtafuta Mwenyezi Mungu wanaielewa kikamilifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wabaya hawaelewi na hukumu; Bali wamtafutao Bwana huelewa na yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu hawajui maana ya haki, lakini wamchao Mwenyezi-Mungu wanaielewa kabisa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wabaya hawaelewi haki, bali wale wamtafutao BWANA wanaielewa kikamilifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wabaya hawaelewi haki, bali wale wamtafutao bwana wanaielewa kikamilifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu waovu hawaelewi na hukumu; Bali wamtafutao BWANA huelewa na yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu hawajui maana ya haki, lakini wamchao Mwenyezi-Mungu wanaielewa kabisa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watu wabaya hawatambui mashauri yaliyo sawa, lakini wamtafutao Bwana huyatambua yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wabaya hawaelewi na hukumu; Bali wamtafutao BWANA huelewa na yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu hawaelewi haki ya sheria, lakini wanaomwogopa Yawe wanaielewa kabisa.