Proverbs 29:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maskini na mkandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja: Wote wawili wamepewa macho na Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtu maskini na mtu mdhalimu wanafanana kwa jambo hili: Mwenyezi Mungu hutia nuru macho yao wote wawili.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maskini na mdhalimu hukutana pamoja; Bwana huwatia nuru macho yao wote wawili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maskini na mkandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja: wote wawili wamepewa macho na Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: BWANA hutia nuru macho yao wote wawili.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtu maskini na mtu anayeonea wanafanana kwa jambo hili: bwana hutia nuru macho yao wote wawili.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maskini na mdhalimu hukutana pamoja; BWANA huwatia nuru macho yao wote wawili.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maskini na mkandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja: Wote wawili wamepewa macho na Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maskini na mkorofi hukutana, aliyewapa wote wawili mwanga wa macho ni Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maskini na mdhalimu hukutana pamoja; BWANA huwatia nuru macho yao wote wawili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Masikini na mugandamizaji wanafanana kwa kitu kimoja: wote wawili wamepewa macho na Yawe.