Proverbs 29:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuwaogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemtumaini Mwenyezi-Mungu yu salama.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kuwaogopa watu huwa ni mtego, bali yeyote amtumainiaye Mwenyezi Mungu atakuwa salama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye Bwana atakuwa salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuwaogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemtumaini Mwenyezi-Mungu yu salama.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kuwaogopa watu huwa ni mtego, bali ye yote amtumainiaye BWANA atakuwa salama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kuwaogopa watu huwa ni mtego, bali yeyote amtumainiaye bwana atakuwa salama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuwaogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemtumaini Mwenyezi-Mungu yu salama.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kuogopa watu ni kujitegea tanzi, lakini amwegemeaye Bwana hulindwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuwaogopa wanadamu huleta mtego; Bali amtumainiye BWANA atakuwa salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuogopa watu ni kujitega mwenyewe, lakini anayemutumainia Yawe yuko salama.