Proverbs 29:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wengi hupenda kujipendekeza kwa mtawala, hali mtu hupata haki yake kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, bali mtu hupata haki kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watu wengi hutafuta upendeleo wa mkuu; Bali hukumu ya kila mtu hutoka kwa Bwana
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wengi hupenda kujipendekeza kwa mtawala, hali mtu hupata haki yake kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, bali mtu hupata haki kutoka kwa BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wengi hutafuta kusikilizwa na mtawala, bali mtu hupata haki kutoka kwa bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watu wengi hutafuta upendeleo wa mkuu; Bali hukumu ya kila mtu hutoka kwa BWANA
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wengi hupenda kujipendekeza kwa mtawala, hali mtu hupata haki yake kwa Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengi hutafuta upendeleo wa mtawalaji, lakini kwake Bwana kila mtu huyapata yampasayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watu wengi hutafuta upendeleo wa mkuu; Bali hukumu ya kila mtu hutoka kwa BWANA
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wengi wanapenda kujipendekeza kwa mutawala, lakini mutu anapata haki yake kwa Yawe.