Proverbs 3:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi Mungu na usichukie maonyo yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na Bwana, Wala usione ni taabu kurudiwa naye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanangu, usidharau marudi ya BWANA na usichukie kukaripiwa naye,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanangu, usiidharau adhabu ya bwana na usichukie kukaripiwa naye,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na BWANA, Wala usione ni taabu kurudiwa naye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanangu, usidharau adhabu ya Mwenyezi-Mungu, wala usiudhike kwa maonyo yake;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanangu, usiseme: Si kitu, ukichapwa na Bwana! Wala usilegee, unapokanywa naye!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanangu, usidharau kuadhibiwa na BWANA, Wala usione ni taabu kurudiwa naye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wangu, usizarau azabu ya Yawe, wala usiuzike kwa maonyo yake;