Proverbs 3:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa sababu Mwenyezi Mungu huwaadibisha wale anaowapenda, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa sababu BWANA huwarudi wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa sababu bwana huwaadibisha wale awapendao, kama vile baba afanyavyo kwa mwana apendezwaye naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
maana Mwenyezi-Mungu humwonya yule ampendaye, kama baba amwonyavyo mwanawe mpenzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana humchapa anayempenda, kama baba anavyomchapa mwanawe ampendezaye.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA ampendaye humrudi, Kama vile baba mwanawe ampendezaye.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana Yawe anaonya yule anayemupenda, kama vile baba anavyomwonya mwana wake mupenzi.