Proverbs 3:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hekima Mwenyezi Mungu aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa hekima Bwana aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hekima bwana aliiweka misingi ya dunia, kwa ufahamu aliziweka mbingu mahali pake;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hekima Mwenyezi-Mungu aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana aliuweka msingi wa nchi kwa werevu wa kweli, nazo mbingu alizishupaza kwa utambuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hekima Yawe aliweka misingi ya dunia, kwa akili aliziimarisha mbingu.