Proverbs 3:26 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kwa kuwa Mwenyezi Mungu atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa Bwana atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kwa kuwa bwana atakuwa tumaini lako na kuepusha mguu wako kunaswa katika mtego.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mwenyezi-Mungu ndiye atakayekutegemeza; atakuepusha usije ukanaswa mtegoni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani Bwana atakuwa egemeo lako, ataulinda mguu wako, usinaswe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa BWANA atakuwa tumaini lako, Naye atakulinda mguu wako usinaswe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
maana Yawe ndiye atakayekutegemeza, atakuepusha usipate kunaswa katika mutego.