Proverbs 3:29 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usipange maovu dhidi ya jirani yako, anayeishi karibu nawe bila wasiwasi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usipange mabaya dhidi ya jirani yako, anayeishi karibu nawe kwa uaminifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usipange maovu dhidi ya jirani yako, anayeishi karibu nawe bila wasiwasi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usifanye hila ya kumdhuru jirani yako, ambaye anaishi karibu na wewe akikuamini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usipange maovu dhidi ya jirani yako, anayeishi karibu nawe bila wasiwasi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiwaze kumfanyizia mwenzio mabaya, yeye akikaa na wewe pasipo kuogopa kitu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwaze mabaya juu ya jirani yako, Ambaye anakaa karibu nawe na kujiona salama.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usipange maovu juu ya jirani yako anayeishi karibu nawe bila wasiwasi.