Proverbs 3:33 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu huapiza nyumba za waovu, lakini huyabariki makao ya waadilifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Laana ya Mwenyezi Mungu i juu ya nyumba ya mwovu, lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Laana ya Bwana i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu huapiza nyumba za waovu, lakini huyabariki makao ya waadilifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Laana ya BWANA i juu ya nyumba ya mwovu, lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Laana ya bwana i juu ya nyumba ya mwovu, lakini yeye huibariki nyumba ya mwenye haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu huapiza nyumba za waovu, lakini huyabariki makao ya waadilifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kiapizo cha Bwana huzikalia nyumba zao wasiomcha, lakini makao ya waongofu huyabariki.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Laana ya BWANA i katika nyumba ya waovu, Bali huibariki maskani ya mwenye haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe analaani nyumba za waovu, lakini anabariki makao ya wenye haki.