Proverbs 3:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usijione wewe mwenyewe kuwa mwenye hekima; mche Mwenyezi-Mungu na kujiepusha na uovu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; mche Mwenyezi Mungu ukajiepushe na uovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche Bwana, ukajiepushe na uovu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usijione wewe mwenyewe kuwa mwenye hekima; mche Mwenyezi-Mungu na kujiepusha na uovu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe, mche BWANA ukajiepushe na uovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; mche bwana ukajiepushe na uovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiwe na hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usijione wewe mwenyewe kuwa mwenye hekima; mche Mwenyezi-Mungu na kujiepusha na uovu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usijiwazie mwenyewe kuwa mwenye werevu wa kweli, ila umche Bwana, uepuke penye mabaya!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwe mwenye hekima machoni pako; Mche BWANA, ukajiepushe na uovu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usijione wewe mwenyewe kuwa mwenye hekima; umwogope Yawe na kujiepusha na uovu.