Proverbs 3:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hii itakuletea afya mwilini mwako, na lishe kwenye mifupa yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Itakuwa afya mwilini pako,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hii itakuletea afya mwilini mwako, na mafuta kwenye mifupa yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hii itakuletea afya mwilini mwako, na mafuta kwenye mifupa yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hiyo itakuwa dawa mwilini mwako, na kiburudisho mifupani mwako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hii itakuwa dawa ya kitovu chako na kunywaji cha kuitia mifupa yako nguvu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Itakuwa afya mwilini pako, Na mafuta mifupani mwako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hiyo itakuwa dawa kwa mwili wako, na kitu cha kutuliza mifupa yako.