Proverbs 30:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maneno ya Aguri, mwana wa Yake. Mawaidha ambayo mtu huyu alimwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Misemo ya Aguri mwana wa Yake; usia: Huyu mtu alimwambia Ithieli, naam, kwa Ithieli na Ukali:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maneno ya Aguri bin Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maneno ya Aguri, mwana wa Yake. Mawaidha ambayo mtu huyu alimwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mithali za Aguri mwana wa Yake, mausia: Huyu mtu alimwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Misemo ya Aguri mwana wa Yake, usia: Huyu mtu alimwambia Ithieli, naam, kwa Ithieli na kwa Ukali:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maneno ya Aguri mwana wa Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maneno ya Aguri, mwana wa Yake. Mawaidha ambayo mtu huyu alimwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mtu husema: Nimejisumbua, Mungu, kweli nimejisumbua, Mungu, nikawezekana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maneno ya Aguri bin Yake; mausia mtu huyu aliyomwambia Ithieli, naam, Ithieli na Ukali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maneno ya Aguri mwana wa Yake. Maneno ambayo mutu huyu alimwambia Itieli na Ukali.