Proverbs 30:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna na wengine — kiburi ajabu! Hudharau kila kitu wanachokiona.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao daima macho yao ni ya kiburi, na kutazama kwao ni kwa dharau;
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuna kizazi cha watu ambao macho yao yameinuka kama nini! Na kope zao zimeinuka sana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna na wengine — kiburi ajabu! hudharau kila kitu wanachokiona.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wale ambao daima macho yao ni ya kiburi, ambao kutazama kwao ni kwa dharau;
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wale ambao daima macho yao ni ya kiburi, ambao kutazama kwao ni kwa dharau;
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuna kizazi cha watu ambao macho yao yameinuka kama nini! Na kope zao zimeinuka sana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna na wengine – kiburi ajabu! Hudharau kila kitu wanachokiona.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kiko kizazi cha watu walio wakuu zaidi machoni pao wenyewe, nazo kope za macho yao huelekezwa juu sana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna kizazi cha watu ambao macho yao yameinuka kama nini! Na kope zao zimeinuka sana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna watu ambao macho yao yanajaa kiburi. Wanazarau kila kitu wanachoona.