Proverbs 30:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuna watu ambao meno yao ni kama upanga, na magego yao ni kama visu. Wako tayari kuwatafuna maskini wa nchi, na wanyonge walio miongoni mwa watu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambao meno yao ni panga na mataya yao yamewekwa visu ili kuwaangamiza maskini katika nchi, na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kuna kizazi cha watu ambao meno yao ni panga; Na vigego vyao ni kama visu. Ili kuwala maskini waondolewe katika nchi, Na wahitaji katika wanadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuna watu ambao meno yao ni kama upanga, na magego yao ni kama visu. Wako tayari kuwatafuna maskini wa nchi, na wanyonge walio miongoni mwa watu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
wale ambao meno yao ni panga na ambao mataya yao yamewekwa visu kuwaangamiza maskini katika nchi, na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
wale ambao meno yao ni panga na ambao mataya yao yamewekwa visu kuwaangamiza maskini katika nchi, na wahitaji kutoka miongoni mwa wanadamu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kuna kizazi cha watu ambao meno yao ni panga; Na vigego vyao ni kama visu. Ili kuwala maskini waondolewe katika nchi, Na wahitaji katika wanadamu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuna watu ambao meno yao ni kama upanga, na magego yao ni kama visu. Wako tayari kuwatafuna maskini wa nchi, na wanyonge walio miongoni mwa watu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kiko kizazi cha watu wenye panga kuwa meno yao, wenye majisu kuwa magego yao, hutaka kuwala wanyonge, watoweke katika nchi, nao wakiwa, watoweke katika watu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kuna kizazi cha watu ambao meno yao ni panga; Na vigego vyao ni kama visu. Ili kuwala maskini waondolewe katika nchi, Na wahitaji katika wanadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kuna watu ambao meno yao ni kama upanga, na mataya yao ni kama visu. Wako tayari kuwatafuna wamasikini wa inchi, na wakosefu wanaokuwa kati ya watu!